Mkurugenzi wa Mtendaji wa kituo cha Sheria na Haki za Dr. Binadamu Hellen Bisimba akizungumza na wananchi waliofika kwenye uzinduzi wa ilani ya uchaguzi ya Azaki Tanzania katika ukumbi wa Milleniamu Towers Kijitonyam leo Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za binadamu na utawara bora,Bahame Nyanduga akizindua ilani ya uchaguzi ya Azaki Tanzania katika ukumbi wa Milleniamu Towers Kijitonyama leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mtendaji wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Hellen Bisimba na wakulia Mratibu wa Mtandao wa watetea wa haki za Binadamu Onesmo Ngurumwa.
Wakionesha waandishi wa habari hawapo pichani mara baada ya uzinduzi wa ilani ya uchauzi ya Azaki katika ukumbi wa Milleniamu Towers Kijitonyam leo Jijini Dar es Salaam.
Bahame Nyanduga na Dr. Binadamu Hellen wakiteta jambo mara baada ya uzinduzi huo katika ukumbi wa Milleniamu Towers Kijitonyama leo Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment