Saturday, 14 November 2015
Posted by Unknown on 03:13:00
with No comments so far
![](http://1.bp.blogspot.com/-WS3IgrqYToU/VkX-scBbpcI/AAAAAAAAmeI/rhGnW1Xm6VA/s640/001.jpg)
Wabunge wateule wakipiga picha kwa ajili ya vitambulisho vitakavyotumika kwa ajili ya matumizi ya Bunge Leo Mjini Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro Mh. Jumanne Maghembe akikabidhi nyaraka zake wakati wa zoezi la usajili linaloendelea leo Mjini Dodoma.
Mbunge wa Jimbo la Sengerema Willium Ngeleja akisajili kwa Afisa wa bunge
Maafisa wa benki wakiwapa maelezo wabunge wakati wa zoezi la usajili linaloendelea Mjini Dodoma
Maafisa wa Bunge wakimkabidhi nyaraka Moja ya Mbunge wakati wa Zoezi la Usajili leo Mjini Dodoma
Posted by Unknown on 03:06:00
with No comments so far
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Rue-Bichat.jpg?width=650)
Mauaji katika mghahawa wa Rue Bichat, Paris
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Ambulance.jpg?width=650)
Gari la huduma ya kwanza.
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Batclann.jpg?width=650)
Mmoja wa Muhanga aliyenusurika katika tukio hilo.
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Cambodian.jpg?width=650)
Miili ya watu waliopoteza maisha kufatia tukio hilo.
Friday, 13 November 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)