![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/09/7.-2342403277_45aca7e126.jpg?resize=500%2C334)
Staa kutoka Marekani, Danny Glover katua Nigeria kwa kazi moja tu !! kama wewe ni mpenda movie kali kutoka Hollywood Marekani, jina la staa huyo sio geni…. kwenye list ya movie kali ziko na hizi hapa mtu wangu >>> ‘Legendary’ (2010- ndani yumo na John Cena pia), pamoja na movie ya ‘Rage’ ambayo amefanya na staa mwingine Nicolaus Cage (ilitoka mwaka 2014).
Taarifa ni kwamba mwigizaji Danny Glover tayari katua Nigeria usiku wa September 08 2015 kwa ajili ya kuandaa Movie ambayo itakuwa inahusu masuala ya Ebola, jina lake itaitwa ’93 DAYS’ ambayo ndani yake kutakuwa na story inayowahusu watu waliojitolea kupambana na Ebola.
0 comments:
Post a Comment