Tuesday, 8 September 2015

Msafara ukielekea uwanja wa Michezo wa Chuo cha Ualimu cha Marangu kwa ajili ya uzinduzi wa mkutano wa Kampeni.
Msafara wa magari pamoja na pikipiki katika eneo la Marangu mtoni ukimsindikiza mgombea ubunge katika jimbo la Vunjo ,James Mbatia

Categories:

0 comments:

Post a Comment