![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/11/17/151117081045_france_french_warplane_fighter_jet_640x360_ecpad_nocredit.jpg)
Tayari wamevamia makao zaidi ya 100 huku wakiwaweka washukiwa katika kifungo cha nyumbani.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/624/amz/worldservice/live/assets/images/2015/11/16/151116161105_francois_hollande_parliament_speech_624x351_reuters_nocredit.jpg)
Wachunguzi wanashuku kuwa ndiye aliyenusurika kifo pekee yake baada ya shambulizi hilo.
![](http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/624/amz/worldservice/live/assets/images/2015/11/17/151117074449_john_kerry_in_france_624x351_ap_nocredit.jpg)
Mashambulizi hayo yamefanyika usiku wa kuamkia leo Jumanne.
Waziri wa ulinzi jijini Paris, amesema kuwa ndege kumi za kijeshi zimeharibu kabisa vituo kadhaa vya mafunzo ya wapiganaji hao katika mji wa Raqqa
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/624/amz/worldservice/live/assets/images/2015/11/16/151116135552_belgium-france-attacks-security_640x360_afp_nocredit.jpg)
Hapo jana Jumatatu, Rais Francois Hollande, aliahidi bunge la Ufaransa kuwa, jeshi la taifa hilo litalikabili vilivyo kundi la Islamic State bila huruma, ili kujibu mashambulio ya kigaidi ya Ijumaa, jijini Paris.
Rais Hollande anatarajiwa kufanya mazungumzo na waziri wa maswal ya nje wa Marekani John Kerry ambaye anazuru Paris leo.
0 comments:
Post a Comment