Posted by Unknown on 02:25:00
with No comments so far
Katibu wa Bunge Mh Dkt Thomasi Kashilila Amemtangaza Mh Job ndugai kuwa Spika wa Bunge la 11 baada ya Kujinyakulia Kura 254 sawa na 70% ya Kura zote zilizopigwa.MhNdugai amewashinda Wagombea wengine kutoka vyama na makundi Mbalimbali
0 comments:
Post a Comment