![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/304/amz/worldservice/live/assets/images/2015/12/19/151219071427_iraq_forces_304x171_ap_nocredit.jpg)
Shirika moja la habari la Ufaransa limesema kuwa kumekuwa na vifo vya raia ambao wanalazimika kutembea umbali mrefu milimani ili kuweza kuyafikia maeneo salama nchini Iraq.
Mwanamke mmoja amesema kuwa mabomu yanayowakumba njiani,yamesababisha kifo cha mume wake na mtoto wake wa kiume wakati wakijaribu kulihama eneo hilo. Hawijah ni ngombe ya wapiganaji wa Islamic State,lakini makundi ya wapigan
0 comments:
Post a Comment