Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi ya CCM Bwana Abdallah Majura Bulembo wakiikingia katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam ambapo alifungua mkutano wa Makatibu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM,Mkoa na Wilaya.![03](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/09/031-1024x435.jpg)
![03](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/09/031-1024x435.jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM ngazi ya,Mkoa na Wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.,![06](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/09/06.jpg)
![06](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/09/06.jpg)
Wajumbe wakishangilia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM ngazi ya,Mkoa na Wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment