![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7l01_wDj3sbGAoHFgwGF5Y2keoWKy_V2-HNfHZ3Nvmdf1SLuWFzls7qgzr44dC7_BQEWONHs8bpjCFZNyzZHAzv_8B_iE17WLBCmetJYkIDCl4PmDfY_gvcCrpnLfrmTNPbykqMZEP9Vm/s640/TB1.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgESJUma2Y1daV1pLCG2lQHmMY070gnJsDp1rNivB7r6_yXpix8ID3qdVgrrFgrw_PgIMkhmWDA_idHLnVyixPHRBB0J9kxAz1U5_FD2JiiQzeXIjsB6MgOCwfZ-sX3Y6xeRmLrbAQVJOxg/s640/TB28.jpg)
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015. Wengine toka kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Zanzibar Dkt Abdulhamid Yahaya Mzee, Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Karibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe Florens Turuka
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhlA7HfC5ea0vrFY3O-J3FzITML0Jqp-4YZo2IQb3wUE0SXsq1sDadWcD3L5zWZrgqvT795_5X5wWPWm7lt_gcdeYIc6cUL0R24ZXY51r73pCEtT8ZHWzh-lao31NlbPSiS0FH-FT7FmxQI/s640/TB31.jpg)
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na watumishi wa TNBC katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015. Wengine toka kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Zanzibar Dkt Abdulhamid Yahaya Mzee, Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Karibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe Florens Turuka, PICHA ZOTE NA IKULU
0 comments:
Post a Comment