Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shehena ya sukari wakati alipotembelea
ghala la kwanda cha Sukari cha Kagera akiwa katika ziara ya mkoa wa
Kagera Machi 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shehena ya sukari wakati alipotembelea
ghala la kwanda cha Sukari cha Kagera akiwa katika ziara ya mkoa wa
Kagera Machi 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la mpaka kati ya Tanzania na Uganda
kwenye Ranchi ya Missenyi mkoani Kagera Machi 14, 2016. Kushoto ni Mkuu
wa Wilaya ya Missenyi,Festo Kiswaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi wa Uganda waishio mpakani wakimsikiliza Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa wakati alipotembelea kijiji cha Benkoma wilayani
Missenyi akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 14, 2016. Wananchi
hao wa Uganda walivuka mpaka ili kumuona Waziri Mkuu. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Uganda waishio kwenye
mpakani waliovuka mpaka ili kumuona wakati alipotembelea kijiji cha
Benkoma wialyani Missenyi akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi
14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi
ya wananchi wa Uganda waishio mpakani wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa wakati alipotembelea kijiji cha Benkoma wilayani Missenyi
akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 14, 2016. Wananchi hao wa
Uganda walivuka mpaka ili kumuona Waziri Mkuu. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment